Login | Register

Sauti za Kuimba

Bwana Alikuwa Tegemeo Lyrics

BWANA ALIKUWA TEGEMEO

@ Hillary Bagisi

Bwana alikuwa tegemeo - langu langu *2
Akanitoa akanipeleka panapo nafasi nafasi
Akaniponya kwa kuwa alipendezwa nami *2

  1. Bwana alinitendea, sawasawa na haki yangu
    Maana nimezishika njia zake wala sikumwasi Mungu.
  2. Nimeshika maagizoye, sikuacha na amri zake
    Mbele za Bwana sikuwa na hatia nikalinda wema wangu,
  3. Atukuzwe Baba na Mwana, naye Roho Mtakatifu
    Kama mwanzo na sasa na siku zote na milele amina.
Bwana Alikuwa Tegemeo
COMPOSERHillary Bagisi
CHOIRSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
ALBUMTazameni Miujiza (Vol 2)
CATEGORYZaburi
REFPs. 18
MUSIC KEYD Major
TIME SIGNATURE2
4
SOURCEMwanza Tanzania
NOTES Open PDF
  • Comments