Bwana Yesu Alipokwisha Kula

Bwana Yesu Alipokwisha Kula
Choir-
CategoryAlhamisi Kuu
Composer(traditional)
Musical Notes
MusickeyG Major
NotesOpen PDF

Bwana Yesu Alipokwisha Kula Lyrics

Bwana Yesu alipokwisha kula pamoja na wafuasi wake,
Aliwaosha miguu yao


1. Bwana Yesu alipokwisha kula pamoja na wafuasi wake,
aliwaosha miguu

2. Akawaambia mwafahamu niliyowatendea
Mimi niliye bwana na mwalimu wenu

3. Nimewapa mfano ili mtende ninyi mtende vile vile

4. Amin amin, nawaambia ninyi
Mtumwa si mkuu kuliko Bwana wake

5. Wala mtume sio mkuu, kuliko yeye aliyempeleka

6. Mkiyajua haya, heri ninyi mkiyatenda

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Zaeni Matunda Mema 5814860
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Huniongoza Mwokozi 5814856
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442