Bwana Anakuja Kwetu

Bwana Anakuja Kwetu
Choir-
CategoryMajilio (Advent)

Bwana Anakuja Kwetu Lyrics

Bwana anakuja, anakuja kwetu anakuja *2
Tengenezeni njia yake yanyosheni mapito yake
Anakuja kutukomboa *21. Waambieni wanaokufa moyo, anakuja msiogope
Bali jipeni moyo anakuja

2. Furahini wote katika Bwana, anakuja
Anakuja naye hatakawia, anakuja

3. Afikapo Bwana na malaika, anakuja
Kiti cha enzi atakikalia, anakuja

4. Mataifa yote yatakusanywa, anakuja
Mbele yake Bwana hakimu wao, anakuja

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442