Ee Bwana Fadhili Zako

Ee Bwana Fadhili Zako
ChoirKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
AlbumNikiziangalia Mbingu (vol 18)
CategoryZaburi
ComposerJohn Mgandu
SourceSt. Theresa Cathedral Arusha Tanzania
ReferencePs. 33
Musical Notes
Timesignature2 4
MusickeyF Major
NotesOpen PDF

Ee Bwana Fadhili Zako Lyrics


Ee Bwana, ee Bwana, fadhili zako zikae nasi *2
{ Kama vile tulivyokungoja wewe (Bwana)
Kama vile tulivyokungoja wewe Bwana wewe Bwana } *2


1. Kwa kuwa neno la Bwana, neno la Bwana lina adili
Na kazi yake yote huitenda kwa uaminifu

2. Hupenda haki na hukumu, hupenda haki na hukumu
Nchi imejaa fadhili za Bwana

3. Tazama jicho la Bwana, li kwao wamchao
Wazingojeeao fadhili fadhili za Bwana

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442