Bwana Ndiye Mchungaji

Bwana Ndiye Mchungaji
Choir-
CategoryZaburi
ReferencePs. 23

Bwana Ndiye Mchungaji Lyrics

Bwana ndiye mchungaji wangu *2
Sitapungukiwa na kitu1. Bwana ndiye mchungaji wangu
sitapungukiwa na kitu
Katika malisho ya majani mabichi hunilaza
Kando ya maji ya utulivu huniongoza

2. Huniuhuisha nafsi yangu na kuniongoza
katika njia za haki
Kwa ajili ya jina lake, nijapopita kati ya bonde
La utulivu wa mauti sitaogopa mabaya.

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442