Bwana Ni Nani

Bwana Ni Nani
Performed by-
CategoryZaburi
Views5,456

Bwana Ni Nani Lyrics

  1. [t] Bwana ni nani atakayekaa katika hema yako
    [w]Bwana ni nani atakayekaa katika hema yako
    Nani atakayefanya maskani yake katika kilima chako
    Yeye aendaye kwa ukamilifu pia na kutenda haki

  2. [s/a] Maskani zako zapendeza kama nini
    Ee Bwana wa majeshi *2 (A/T/B): A...min *2)
  3. [t/b] Heri wakaao nyumbani mwako
    Daima wanakuhimidi *2
  4. [s/a] Hakika siku moja, siku moja katika nyua zako *2
  5. [t/b] Ni bora kuliko siku elfu, bora kuliko elfu *2