Bwana Ni Ngome

Bwana Ni Ngome
ChoirKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
AlbumNikiziangalia Mbingu (vol 18)
CategoryZaburi
ComposerD. J. Mallya
SourceSt. Theresa Cathedral Arusha Tanzania
ReferencePs. 27

Bwana Ni Ngome Lyrics

{ Bwana ni ngome yangu na nguvu yangu
Bwana ni nuru yangu nimwogope nani? } *2


1. Watesi wangu na pia adui zangu
Waliponikaribia wakaanguka

2. Hata kama nikizungukwa na majeshi
Sitaogopa vita sitakufa moyo

3. Jambo moja ningemwomba Mwenyezi Mungu
Nikae nyumbani mwake siku zote

4. Niuone uzuri wa Mwenyezi Mungu
Nikatafakari hekaluni mwako

5. Nami nitawashinda maadui zangu
Nitamshangilia hekaluni mwake

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442