Bwana Unipe Maji

Bwana Unipe Maji
ChoirSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
AlbumMilele Milele Msifuni (Vol 1)
CategoryZaburi
ComposerJ. D. Mkomagu
SourceTanzania

Bwana Unipe Maji Lyrics

Bwana unipe maji yale ya uzima, nisione kiu kamwe *21. Hakika Bwana wewe ndiwe Mwokozi wa ulimwengu,
Unipe maji yale ya uzima nisione kiu kamwe.

2. Bwana asema atakayekunywa maji haya nitakayompa mimi,
Yatakuwa ndani yake, chemichemi ya maji
Yakibubujikia uzima wa milele

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442