Login | Register

Sauti za Kuimba

Bwana pokea sadaka Lyrics

BWANA POKEA SADAKA

Bwana pokea sadaka tunayokutolea
Mkate divai na fedha ni mali yako

 1. Bwana pokea mazao tunayokutolea
  Ni tunda la jasho letu sisi wanao
 2. Bwana pokea na fedha tunazokutolea
  Ni tunda la kazi zetu tuzifanyazo
 3. Bwana pokea vipaji, shukrani kwako wewe
  Umetukomboa Bwana tuko maliyo
 4. Nazo nyoyo zetu Baba uzipokee sasa
  Nazo nafsi zetu zote twazitolea
Bwana pokea sadaka
CHOIR
CATEGORYOffertory/Sadaka
 • Comments