Bwana Unifanye Chombo

Bwana Unifanye Chombo
Choir-
CategorySign of Peace/Kutakiana Amani

Bwana Unifanye Chombo Lyrics

Bwana unifanye chombocha amani yako *21. Palipo na chuki nilete amani, amani yako
Palipo ugomvi nilete msamaha wako

2. Palipo na shida nilete tumaini, tumaini lako
Palipo na giza nilete mwangaza wako

3. Palipo uchungu nilete furaha, furaha yako
Bwana nijalie niwe chombo cha kujaa

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442