Login | Register

Sauti za Kuimba

Bwana Upokee Lyrics

BWANA UPOKEE

Bwana upokee, Bwana upokee, zawadi twaleta *2

 1. Mkate na divai, zawadi twaleta
  Mazao ya mashamba, zawadi twaleta
  Na pia nafsi zetu, zawadi twaleta
  Vyote tulivyo navyo, zawadi twaleta
 2. Furaha na uchungu . . .
  Na kiini cha ngano . . .
  Na tunda la Mzabibu . . .
  Fedha za mifukoni . . .
 3. Nafaka upokee . . .
  Twakutolea vyote . . .
  Kwako Baba Muumba . . .
  Kwa njia ya Mwokozi. . .
 4. Katika mfariji . . .
  Ipate kugeuzwa. . .
  Iweze kutufaa. . .
  Pokea twakuomba . . .
 5. Ingawa ni kidogo . . .
  Twakutolea kwa moyo
  Baba usikatae . . .
  Vipaji vya wanao . . .
Bwana Upokee
CATEGORYOffertory/Sadaka
 • Comments