Login | Register

Sauti za Kuimba

Bwana Utafakari Agano Lyrics

BWANA UTAFAKARI AGANO

@ D. Kalolela

Ee Bwana, ulitafakari agano, usisahau (milele)
Uhai wa watu wako walioonewa *2

  1. Ee Mungu usimame ujitetee mwenyewe,
    Usisahau sauti ya watesi wako
  2. Maana pahali penye giza katika nchi
    Pamejaa makali ya ukatili
  3. Aliyeonewa asirejee ametiwa haya,
    Mnyonge mhitaji na walisifu jina lako
Bwana Utafakari Agano
COMPOSERD. Kalolela
CHOIRSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
ALBUMMilele Milele Msifuni (Vol 1)
CATEGORYZaburi
REFPs. 74
MUSIC KEYB Flat Major
TIME SIGNATURE3
8
SOURCEKanisa Kuu la Mt. Theresia wa Mtoto Yesu, Jimbo Kuu la Arusha
NOTES Open PDF


Pia umerekodiwa na kwaya nyinginezo Tanzania
  • Comments