Bwana Yesu Alitamka

Bwana Yesu Alitamka
Choir-
CategoryInjili na Miito (Gospel)
Composer(traditional)

Bwana Yesu Alitamka Lyrics

1. Bwana Yesu alitamka, mimi ndimi njia ya kweli
Mtu haji kwa Baba yangu, Ila kwa njia yangu mimi


Hebu jiulize (jiulize) njia gani uifuatayo
Nawe waelekea wapi na wafuata njia ya kweli


2. Njia nyembamba yenye tabu, ndiyo iendayo Mbinguni
Na ile pana ya anasa, yaelekea Jehanam

3. Ngamia ni rahisi sana, kuingia tundu la sindano,
Kuliko mtu mwenye dhambi kuingia Mbinguni kwa Baba

3. Mimi ndimi mwanzo na mwisho, mimi Alfa na Omega
Mtu haji kwa Baba yangu, Ila kwa njia yangu mimi

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442