Chakula cha Uwingu

Chakula cha Uwingu
ChoirTBA
CategoryEkaristia (Eucharist)

Chakula cha Uwingu Lyrics

Chakula cha uwingu ni tayari
Karamu ya upendo na amani
Sogea (we) jongea (we) upokee *2
Utaonja utamu wa mbinguni *2

  1. Chakula cha mbingu ni mwili wa Yesu na damu yake
  2. Sogea uone mapenzi ya Bwana yaliyo bora
  3. Atakugawia uzima wa mbingu ulio bora
  4. Atakushibisha atakubariki na kukunywesha