Dhambi Ilikuja

Dhambi Ilikuja
Performed by-
CategoryTafakari
Views4,436

Dhambi Ilikuja Lyrics

  • Mwokozi wetu Yesu twakuomba, sisi tu wanyonge
    Roho zetu twazitoa kwako, twakuomba utusaidie
    Twakuomba utuponyeshe.
  • Dhambi ilikuja , dhambi ilikuja
    Dhambi ilikuja ulimwenguni ikatuletea magonjwa
    Dhambi imeondoa-usalama
    Dhambi imetuondolea nguvu
    Katuletea kifo na shida
    Dhambi imetutenga na Mungu
  • Na mfano tutawapa, nyoka usipompasua kichwa
    Analetewa majani na mwenzake
    anapata joto na kwenda
  • Twaenda kwa waganga twatoa kweli pesa nyingi sana
    Tunatibiwa na kuchanjachanjwa
    Twasahau mganga ni Yesu