Ee Baba Yetu Uliye Mbinguni Lyrics

EE BABA YETU ULIYE MBINGUNI

 • Ee BabaBaba yetu uliye mbinguni
  Jina lako litukuzwe
  Ufalmeufalme wako na utufikie
  Utakalo lifanyike

 • Utupe leo mkate wetu Ee Baba -
  utakalo lifanyike
  Mkate wetu wa kila siku ee Baba -
 • Tusamehe makosa yetu ee Baba -
  Kama vile twawasamehe ee baba -
 • Na usitutie kishawishini ee baba -
  Maovuni utuopoe ee baba -
 • Kwa kuwa nguvu na utukufu ee Baba -
  Ni zako hata milele ee Baba -
Ee Baba Yetu Uliye Mbinguni
CATEGORYMisa (Sung Mass)
 • Comments