Ee Bwana Fadhili Zako

Ee Bwana Fadhili Zako
ChoirSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
AlbumIkatetemeka Nchi (Vol 3)
CategoryZaburi
ComposerA. I. Kibindo
ReferencePs. 38
Musical Notes
Timesignature2 4
MusickeyA Major

Ee Bwana Fadhili Zako Lyrics

{ Ee Bwana, fadhili zako zikae nasi
Kama vile tunavyokungoja } *2
Tunavyokungoja wewe (Bwana)


1. Huzipenda haki na hukumu,
Nchi imejaa fadhili za Bwana

2. Kwa neno la Bwana mbingu zilifanyika,
Na jeshi lake lote na kwa pumzi ya kinywa chake

3. Tazama jicho la Bwana li kwa wamchao
Wazingojeeao wazingojeao fadhili zake

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442