Ee Bwana Mungu Nikupe Nini

Ee Bwana Mungu Nikupe Nini
Performed by-
CategoryOffertory/Sadaka
Views4,141

Ee Bwana Mungu Nikupe Nini Lyrics

  1. Ee Bwana Mungu na mimi nikupe nini?
    Nina zawadi kidogo ee Bwana wangu, pokea zawadi

  2. Ee Bwana Mungu na mimi nikupe nini,
    Nakutolea mkate nayo divai, pokea zawadi
  3. Ee Bwana Mungu na mimi nikupe nini,
    Nakutolea mazao ya mashambani, pokea zawadi
  4. Ee Bwana Mungu na mimi nikupe nini,
    Nilivyo navyo ni vyako ee Bwana wangu, pokea zawadi