Login | Register

Sauti za Kuimba

Ee Bwana Upokee Lyrics

EE BWANA UPOKEE

Ee Bwana upokee sadaka zetu
[Twaomba japo] Japo ni kidogo sana
Baba twaomba,
U-zi-i-pokee ee Baba Mungu wetu
Umenitendea mema na ya kupendeza
Mungu Mwenyezi Baba sina cha kukupa
Zaidi ya sala yangu na sadaka yetu ya leo

 1. Pokea sadaka zetu twazileta mbele ya Altare
  Twakuomba upokee Bwana
  Unifanye kuhimili shida zangu
 2. Ewe Mkristu ndugu aliyokutendea Bwana
  Watak'kana ukumbuke leo
  Ukatoe shukrani zako kwa Bwana
Ee Bwana Upokee
CHOIR
CATEGORYOffertory/Sadaka
 • Comments