Ee Bwana Uturekebishe Lyrics

EE BWANA UTUREKEBISHE

Ee Bwana Mungu ee Bwana…
Ee Bwana Mungu…. (ee Bwana) Mungu
Ee Mungu uturekebishe na utuangazishe
Na utuangazishe na utuangazishe uso wako.

 1. Wewe uchungaye, uchungaye Israeli,
  Utie nuru uziamshe nguvu zako
 2. Wewe uketiye juu ya makerubi
  Utie nuru uziamshe nguvu zako
 3. Ewe Mwenyezi Mungu utuangalie
  Kwa wema wako nasi tutaokoka
 4. Na mkono wako, na uwe juu yake
  Huo mzabibu ulopandwa kwa mkono wako.
Ee Bwana Uturekebishe
CHOIR
CATEGORYZaburi
REFPs. 80
 • Comments