Ee Mungu Mfalme Lyrics

EE MUNGU MFALME

@ J. C. Shomaly

[s] Ee Mungu mfalme Bwana mimi nitakutukuza
[w] Nitalihimidi jina lako Bwana *2
{ Kila siku nitakuhimidi ewe Mungu wangu
nitalitukuza jina lako milel } *2

 1. Bwana ana fadhili, ni mwingi wa rehema,
  Si mwepesi wa hasira ni mwingi wa rehema
  Na rehema zake ni kwa viumbe vyote
 2. Viumbe vyote vyako Mungu vitakusujudu
  Na wacha Mungu wako watakuhidi
  Wataunena utukufu wako na kuhadithia uweza wako.
Ee Mungu Mfalme
COMPOSERJ. C. Shomaly
CHOIR
CATEGORYZaburi
REFPs. 145
 • Comments