Ee Mungu Mwenye Rehema

Ee Mungu Mwenye Rehema
Choir-
CategoryZaburi
ReferencePs. 4

Ee Mungu Mwenye Rehema Lyrics

Ee Mungu Mungu mwenye rehema utuinuliye nuru
ya uso wako Mungu mwenye rehema, ee Bwana
Bwana Mungu, Sisi utuinuliye nuru ya uso wako1. Ee Mungu wa haki uitike yangu nikuitapo
Umenifanyizia nafasi wakati wa shida

2. Jueni ya kuwa Bwana ameteua mtauwa
Bwana atasikia nimwitapo mimi

3. Wengi husema nani atakayetuonyesha mema
Bwana utuinulie nuru ya uso wako

4. Katika amani najilaza na kupata usingizi
Ndiwe unijaliaye kukaa salama

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442