Ee Mungu Nitakutafuta Lyrics

EE MUNGU NITAKUTAFUTA

Ee Mungu Mungu wangu nitakutafuta mapema
Nafsi yangu nafsi yangu *2
Nafsi yangu yakuonea kiu ee Mungu wangu

  1. Mwili wangu wakuonea shauku
    Katika nchi kame isiyo na maji
  2. Ndivyo nilivyokutazama katika patakatifu
    Nizione na nguvu zako na utukufu
  3. Kwa maana fadhili zako, Fadhili zako ni njema
    Midomo yangu itakusifu Mungu wangu
Ee Mungu Nitakutafuta
CHOIR
CATEGORYZaburi
REFPs. 63
  • Comments