Enyi Nchi Yote

Enyi Nchi Yote
ChoirSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
AlbumMbinguni Kutakuwa Raha (Vol 4)
CategoryZaburi
ComposerJ. C. Shomaly
Musical Notes
Timesignature3 8
MusickeyA Major

Enyi Nchi Yote Lyrics


{ Enyi nchi yote mpigieni Mungu vigelegele
Msifuni amewakweza maskini } *2
Bwa-na akalikomboa taifa lake
Watu wote wakaokolewa
Ndege angani warukaruka
Miti milima yachezacheza
Pigieni Mungu vigelegele enyi wenye haki
Kusifu kwawapasa wanyofu wa moyo *2


1. Bwana amelikomboa taifa lake lote,
kalikomboa taifa lake

2. Nchi yote nayo sasa ishangilie Bwana,
kalikomboa taifa lake

3. Enyi viumbe wa Bwana msifuni Bwana Mungu,
kalikomboa taifa lake.

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442