Mpanda Farasi
Mpanda Farasi | |
---|---|
Choir | St. Benedict Rapogi |
Album | Huyu Ni Yesu (Vol 1) |
Category | Zaburi |
Mpanda Farasi Lyrics
Nitamwimbia Bwana wangu, ametukuka sana,
Farasi na mpanda farasi amewatupa baharini *2
1. Bwana ndiye nguvu yangu, pia wimbo wangu,
Amekuwa wokovu wangu wa hakika, nasema
2. Mwanafarasi naye na farasi wake
Bwana amewatupa kwenye bahari,
3. Yeye ndiye Mungu wangu nitamsifu daima
Mungu wa baba yangu nitamtukuza,
4. Gari lake Farao na jeshi lake
Bwana amewatupa kwenye bahari,
5. Na hakika yote, wateule wote
Wamezama katika bahari ya Shamu,
Favorite Catholic Skiza Tunes
SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.
Title | SKIZA ID |
Cha Kutumaini Sina | 5814855 |
Roho Yangu na Ikuimbie | 5814859 |
Nikupe Nini Mungu Wangu | 7482438 |
Sasa Wakati Umefika | 7482439 |
Utukuzwe Ewe Baba | 7482441 |
Nitakwenda Mimi Mwenyewe | 7482440 |
Zaeni Matunda Mema | 5814860 |
Huniongoza Mwokozi | 5814856 |
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu | 7482444 |
Tazama Tazama | 7482442 |