Furahini Katika Mji Lyrics

FURAHINI KATIKA MJI

@ J. C. Shomaly

Furahini katika mji wa Daudi amezaliwa mtoto *2
Tumepewa mtoto mwanaume
mwenye ufalme mabegani pake
Enyi mataifa njooni tufurahi tumshangilie Bwana
Tumshangilie Bwana Yesu kazaliwa *2

 1. Kwa maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa,
  tumshangile (Bwana)
  Tumepewa mtoto mwana wake Mungu
  kwetu kazaliwa, tumshangilie (Bwana)
 2. Na uwezo wa kifalme utakuwa begani mwake,
  tumshangilie (Bwana)
  Ataitwa jina lake mshauri wa ajabu,
  tumshangilie (Bwana)
Furahini Katika Mji
COMPOSERJ. C. Shomaly
CHOIR
CATEGORYNoeli (Christmas Carols)
 • Comments