Login | Register

Sauti za Kuimba

Heri Amchaye Bwana Lyrics

HERI AMCHAYE BWANA

@ J. C. Shomaly

{ Heri mtu yule, amchaye Bwana,
Amchaye Bwana, aendaye katika njia zake } *2

 1. Taabu ya mikono yako utaila,
  Utakuwa mwenye heri na baraka
 2. Mkeo atakuwa kama mzabibu,
  Uzaao nyumbani mwa-ko
 3. Wanao kama miche ya mizeituni,
  Wakizunguka meza yako meza yako
 4. Hakika amebariki-wa hivyo
  Mtu yule amchaye Bwana Bwana Mungu
Heri Amchaye Bwana
ALT TITLEHeri Mtu Yule
COMPOSERJ. C. Shomaly
CHOIRSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
ALBUMIkatetemeka Nchi (Vol 3)
CATEGORYZaburi
REFPs. 128
MUSIC KEYD Major
TIME SIGNATURE3
8
 • Comments