Heri Walio Maskini

Heri Walio Maskini
ChoirSt. Joseph Migori
AlbumNitachezacheza
CategoryMafundisho ya Yesu
ComposerAlfred Ossonga
ReferenceMt. 5

Heri Walio Maskini Lyrics

1. {Heri walio maskini wa roho,
Kwa maana ufalme wa mbinguni ni wao }*2
{(Heri) heri wenye huzuni (wao) watafarijiwa
(Heri) wenye upole watairithi nchi }*2

2. Heri walio na njaa na kiu ya haki,
Kwa maana maana hao watashibishwa (heri)
Heri wenye rehema (hawa) watapata rehema
Heri wenye moyo safi hao watamwona Mungu

3. Heri wale walio wapatanishi
Kwa maana wataitwa wana wa Mungu
(Heri) wenye kuuliwa (kwa) kwa ajili ya haki
kwa maana ufalme wa mbinguni ni wao

4. Heri washutumiwao na kuudhiwa,
Na kunenewa neno baya kwa ajili yangu *2
(Nyinyi) furahini sana (pia) na kushangilia
Kwa maana dhawabu yenu ni kubwa mbinguni

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Huniongoza Mwokozi 5814856
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Tazama Tazama 7482442