Hiki ni chakula

Hiki ni chakula
ChoirTBA
CategoryEkaristia (Eucharist)

Hiki ni chakula Lyrics

Hiki ni chakula cha uzima (cha uzima)
Njooni tupokee *2

 1. Bwana ni chakula kweli cha uzima,
  Bwana ni kinywaji kweli
 2. Bwana ndiye shime yangu na uzima
  Kweli ni msaada wangu
 3. Bwana ananifundisha njia zake kweli
  Ni mwalimu wangu
 4. Bwana ananituliza siku zote,
  Yeye ni faraja yangu
 5. Bwana ananishibisha siku zote,
  yeye ni chakula changu
 6. Bwana anaburudisha kweli kweli,
  Yeye ni kinywaji changu