Hiki Ni Chakula

Hiki Ni Chakula
ChoirSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
AlbumMilele Milele Msifuni (Vol 1)
CategoryEkaristia (Eucharist)
ComposerSumba Wanga
Musical Notes
Time Signature3
8
Music KeyC Major

Hiki Ni Chakula Lyrics

{ Hiki ni chakula kilichoshuka kutoka mbinguni,
asema Bwana } *2
{ /b/ Siyo kama ile mana ya jangwani ambayo,
Baba zenu, baba zenu walikula
Baba zenu jangwani nao wakafa

/t/ Siyo kama ile mana ya jangwani ambayo, Baba zenu walikula
Baba zenu jangwani nao wakafa

/a/ Siyo kama ile mana ya jangwani ambayo walikula
Baba zenu jangwani nao wakafa

/s/ Siyo kama ile mana ya jangwani walikula
Baba zenu jangwani nao wakafa } *2

  1. Chakula hiki kweli ni chakula chenye uzima, asema Bwana,
    Anayekula mwili na kuinywa hii damu, anao uzima
  2. Twendeni wote tule mwili wake na damu yake, kwa Bwana Yesu
    Anatualika sote kwa karamu yake kweli, tukale chakula
  3. Songea ndugu wewe ni mwenye haki ya kujongea meza ya Bwana
    Anakuita ule mwili wake na damu yake, upate uzima