Hongera Hongera Lyrics

HONGERA HONGERA

{ Hongera hongera
Bwana harusi hongera na bibi harusi } *2
Kwa kujongea altare yake Bwana
Upendo wenu mmeudhihirisha
Muishi kwa amani siku zote, katika nyumba yenu.
Mungu awabariki awalinde maisha yenu yote

  1. Tunawatakia heri, salama na amani
    Shikeni agano lenu, kwa uaminifu
  2. Mungu awajalieni, baraka na rehema
    Wajalieni watoto walo watakatifu
  3. Leo mmedhihirisha, upendo thabiti
    Alounganisha Mungu, yasitenganishwe.
Hongera Hongera
CATEGORYHarusi
  • Comments