Hubirini Hubirini

Hubirini Hubirini
ChoirSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
AlbumMshike Mshike (Vol 5)
CategoryInjili na Miito (Gospel)
ComposerJ. C. Shomaly
ReferencePs. 96
Musical Notes
Timesignature2 4
MusickeyA Major

Hubirini Hubirini Lyrics

{ Hubirini, hubirini,
Hubirini kwa sauti ya kuimba, hubirini nyote
Tangazeni haya yatamkeni mpaka mwisho wa dunia } *2
Semeni Bwana, amelikomboa, amelikomboa, amelikomboa
Taifa taifa, taifa taifa, taifa lake - *2


1. [ s ] Pigieni Mungu vigelegele enyi wenye haki
Kusifu kunawapasa wanyofu, wanyofu wa moyo

2. Kwa kuwa Bwana ni mkuu na mwenye kusifiwa
Hubirini hubirini hubirini kwa sauti ya kuimba

3. Zitajeni sifa zake ametukuka Bwana Mungu
Hubirini hubirini hubirini kwa sauti ya kuimba

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442