Hubirini Kwa Sauti

Hubirini Kwa Sauti
Performed bySt. Augustine JKUAT
AlbumMbawa za Asubuhi
CategoryInjili na Miito (Gospel)
ComposerMerriack Kavakule
Views5,443

Hubirini Kwa Sauti Lyrics

  1. Hubirini kwa sauti ya kuimba, tangazeni haya
    (haya) Yatamkeni mpaka mwisho wa dunia
    (Semeni) Bwana amelikomboa taifa lake *2
     

  2. Mpigie Mungu kelele za shangwe nchi yote
    Imbeni utukufu wa jina lake

     2. Mwambieni Mungu matendo yatisha kama nini
    Kwa ajili ya wingi wa nguvu zako

     3. Adui zako watakuja kunyenyekea kwako
    Kwa kuwa wewe ndiwe uliye Mungu

     4. Enyi mataifa njooni mtukuzeni Bwana
    Zitangazeni sifa za Mungu wetu