Hubirini Neno Lake

Hubirini Neno Lake
ChoirSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
AlbumIkatetemeka Nchi (Vol 3)
CategoryInjili na Miito (Gospel)
ComposerJ. C. Shomaly

Hubirini Neno Lake Lyrics

 1. Hubirini neno lake Mungu kwa mataifa yote
  Tangazeni ukuu wa Mungu kwa viumbe vyote
  { Kwa kuwa Bwana - ni mwema
  Ni mwema rehema zake hudumu,
  Vizazi hata vizazi, vizazi kwa wamchao } *2

 2. Mpigieni Mungu vigelegele enyi wenye haki,
  Kusifu kwawapasa, wanyofu wa moyo
 3. Semeni kwa shangwe, Bwana amelikomboa taifa lake`,
  Bwana amelikomboa taifa lake