Huko Njiani Maria

Huko Njiani Maria
ChoirTBA
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)
SourceTanzania

Huko Njiani Maria Lyrics

 1. Huko njiani Maria waonaje hali ya mwanao

  Ni damu hata pia na vidonda
  Machozi machozi, macho-zi yamfumba macho *2
  Ee maria uliyepata uchungu
  kwa mateso uliyoona kwa mwanao
  Maria mama nipe uvumilivu
  niwapende hata pia adui zangu

 2. Anapokutana nawe ni uchungu unavyotazama
 3. Dhambi zetu wanadamu zamtonesha uchungu twaona