Huyu ni Yesu

Huyu ni Yesu
ChoirSt. Benedict Rapogi
AlbumHuyu Ni Yesu (Vol 1)
CategoryEkaristia (Eucharist)
ComposerJ. C. Shomaly

Huyu ni Yesu Lyrics

[b] Ni nani mbele ya altare hii awaalika wapendwa
[w] Huyu ni Yesu Kristu
[b] Kushiriki chakula safi chenye uzima mpya
toka Mbinguni—
[w] Huyu ni Yesu Kristu
Waumini simameni mtazameni huyu ni Yesu Kristu
Chini ya maumbo haya matakatifu ya mkate na divai
Huyu ni Yesu *2, Huyu ni Yesu, ni Yesu ni Yesu

 1. Anatuita kwake, tujongee mezani,
  Huyu ni Yesu ni Yesu ni Yesu
 2. Tutubu dhambi zetu twendeni kumpokea,
  Huyu ni Yesu ni Yesu ni Yesu
 3. Karamu ya mapendo, karamu ya amani
  Huyu ni Yesu ni Yesu ni Yesu
 4. Kuleni mwili wake, kunyweni damu yake,
  Huyu ni Yesu ni Yesu ni Yesu
 5. Hima twendeni wote, tujongee mezani,
  Huyu ni Yesu ni Yesu ni Yesu