Imbeni Sifa Zake Lyrics

IMBENI SIFA ZAKE

@ J. C. Shomaly

{ Imbeni sifa zake Bwana, msifuni Bwana msifuni
Hubirini, hubirini, hubirini,
Hubirini matendo yake kwa kila kiumbe } *2
Tangazeni matendo ya Bwana
kuto -ka ma -sha -ri -ki na magharibi
Se -me -ni Bwana ni mkuu sana sana sana
{ Tukuzeni sifa za Bwana (tukuzeni sifa za Bwana)
Fikirini matendo ya Bwana,
Fikirini matendo yake yanatisha kama nini } *2

  1. Waambieni watu, matendo ya Bwana,
    Yanatisha sana, yatisha sana
  2. Zisemeni sifa, sifa zake Bwana,
    Hubirini Neno, la Mungu wetu
  3. Bwana ni mkuu, mwenye kusifiwa,
    Atukuzwe Mungu, milele yote
Imbeni Sifa Zake
COMPOSERJ. C. Shomaly
CHOIRSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
ALBUMIkatetemeka Nchi (Vol 3)
CATEGORYZaburi
MUSIC KEYA Major
TIME SIGNATURE2
4
  • Comments