Inapendeza Kuingia

Inapendeza Kuingia
ChoirSt. Joseph Migori
AlbumInapendeza
CategoryEntrance / Mwanzo
ComposerAlfred Ossonga

Inapendeza Kuingia Lyrics

1. { Kunapendeza kutazama kwake Bwana
Nyumba yake Bwana inapendeza } *2
{ Inapendeza (kweli) inapendeza (sana)
Inapendeza inafurahisha moyo
Nyumba ya Bwana inapendeza } *2

2. Kuna furaha kuingia kwake Bwana
Nyumba yake Bwana ina furaha
{ Ina furaha (kweli) ina furaha (kubwa)
Ina furaha ni furaha ya Mbinguni
Nyumba ya Bwana ina furaha. } *2

3. Kuna baraka kuabudu kwake Bwana
Nyumba yake Bwana ina baraka
{ Ina baraka (kweli) ina baraka (nyingi)
Ina baraka inayo baraka tele
Nyumba ya Bwana ina Baraka } *2

4. Kuna chakula kutulia kwake Bwana
Nyumba yake Bwana ina chakula
{ Ina chakula (kweli) ina chakula (kingi)
Ina chakula ni chakula cha roho zetu
Nyumba ya Bwana ina chakula. } *2

5. Kuna uzima kusujudu kwake Bwana
Nyumba yake Bwana ina uzima
{ Ina uzima (kweli) ina uzima (tele)
Ina uzima ni uzima wa milele
Nyumba ya Bwana ina uzima } *2

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442