Inasonga Mbele

Inasonga Mbele
Performed bySt. Gregory Makupa
CategoryInjili na Miito (Gospel)
Views9,544

Inasonga Mbele Lyrics

  1. Inasonga mbele injili yetu ulimwenguni kote -
    Neno laenda mbele *2

    Injili - (iende mbele Injili yake Yesu *2) *2
    {Inasonga mbele - Injili *2 yake Yesu *2}

  2. Inasonga mbele injili yetu katika mataifa -
  3. Inasonga mbele injili yetu katika makabila -
  4. Inasonga mbele Injili yetu katika jumuiya -