Jicho Langu Lyrics

JICHO LANGU

@ Felician Bukene

Ni wewe jicho langu nakutegemea kuniongoza (niendapo)
Ni wewe jicho langu taa yangu ya kumulika njia (nipitayo)
{Niongoze kwa huruma, niongoze kwa mapendo
Nitazame mambo mema, yanayopendeza Mungu
Jicho langu niongoze hata nikafike kwa Mungu Baba}

 1. Ukiwaona vipofu wote – tazama kwa huruma
  Na ukiwaona walemavu wote . . .
  Na ukiwaona wasiojiweza . . .
  Nikafike kwake Mungu kwa huruma yangu
 2. Ukiwaona yatima wote – tazama kwa huruma
  Na ukiwaona na wajane pia . . .
  Na ukiwaona wanaoonewa . . .
  Nikafike kwake Mungu kwa huruma yangu
 3. Mwenendo mbaya wa binadamu – hayo usitazame
  Kama tamaa anasa ushirikina . . .
  Na matendo yanayomuasi Mungu . . .
  Nikafike kwake Mungu kwa matendo mema
 4. Pia unapowaona wahitaji – tazama kwa upendo
  Na kila mwanadamu aliyeumbwa . . .
  Haja za familia uliyonayo . . .
  Nikafike kwake Mungu kwa upendo wangu
Jicho Langu
COMPOSERFelician Bukene
CHOIRSt. Cecilia Mirerani
ALBUMMchanganyo
CATEGORYTafakari
 • Comments