Login | Register

Sauti za Kuimba

Jogoo wa Shamba Lyrics

JOGOO WA SHAMBA

 • Jogoo wa shamba awika sote tuitikie mwito
  Arusi ni wito, wakwaya twaimba *2
  [b:] Imba imba imba imba asema Bwana

 • [w:] Arusi ni wito twimbe kwa shangwe tukisifu
  [t:] {Sisi sote tuusifu wito..
  [w:] Wito ni wa Mungu tujitimu} *2
 • [b:] Asema
  [a:] Arusi ya kwanza ni yake
  [t:] Shambani Edeni
  [w:] Kawashikanisha Adam na Hawa
  Aawa-shikanisha Adam na Hawa
 • {[b:] Tuyakumbuke aliyoyasema
  [t] Shambani Edeni na arusi Kena, [a:] Anena
  [w:] Arusi ni wito iheshimiwe na watu wote *2} *2
Jogoo wa Shamba
CHOIR
CATEGORYHarusi
 • Comments