Kando Ya Mito

Kando Ya Mito
ChoirSt. Charles Lwanga Kisii
AlbumKando ya Mito
CategoryZaburi
ReferencePs. 137

Kando Ya Mito Lyrics


Kando ya mito ya Babeli, ndipo tulipoketi
Tukalia tulipoikumbuka Sayuni
{(Tukalia sana) tukalia tulipoikumbuka Sayuni} *21. Katika miti iliyo katikati yake,
Tulivitundika vinubi vyetu

2. Maana hao waliotuchukua mateka,
Nao walitaka tuwaimbie

3. Tuuimbeje wimbo wa Bwana ugenini,
Mkono wa kuume nao usahau

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442