Karamu Imeandaliwa

Karamu Imeandaliwa
ChoirTBA
CategoryEkaristia (Eucharist)

Karamu Imeandaliwa Lyrics

[t|b] Karamu karamu karamu (njoni)
Karamu imeandaliwa, Waitwa wanyofu wa moyo,
karibuni nyote njooni, Njooni wote tuitikie
naam naam tukampokee Yesu Kristu *2

 1. Ndugu yangu jirani njooni kwa Bwana Mungu
  Kama una dhambi nenda ukaziungame
  Karamu yake njoo njoo njoo
 2. Jiulize una kizuizi gani wewe cha kukunyima
  Wewe kwenda kwa Bwana Mungu ushiriki
  Karamu yake njoo njoo njoo

  [t|b] upendo wa Bwana Mungu katualika tumpokee