Kazi ya Vidole

Kazi ya Vidole
ChoirSt. Charles Lwanga Kisii
AlbumAsubuhi Mchana Usiku
CategoryZaburi
ReferencePs. 8

Kazi ya Vidole Lyrics

NIKIZIANGALIA MBINGU


Nikiziangalia Mbingu, kazi ya vidole vyako
Mwezi nyota ulizoziratibisha,
(Mtu ni kitu gani (mtu ni) hata umkumbuke
Na binadamu hata umwangalie *2)1. Umemfanya mdogo punde kuliko Mungu
Umemfika taji ya utukufu na heshima
Umemtawaza juu ya kazi ya mikono yako
Umevitia vitu vyote chini ya miguu yake.

2. Kondoo na ng’ombe wote, na ng’ombe wote pia
Naam na wanyama wa kondeni, wa kondeni
Ndege wa angani na samaki wa baharini,
Na kila kipitacho njia za baharini.

3. Wewe Mungu Bwana wetu Mungu Bwana wetu
Jinsi lilivyotukufu jina lako duniani
Wewe umeweka utukufu wako Mbinguni
Vinywani mwa watoto umeweka misingi

4. Kwa sababu yao wanaoshindana na wewe,
Uwakomeshe adui na kulipa kisasi
Mtu kitu gani hata wewe umkumbuke
Na binadamu hata umwangalie

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442