Kifo Kimeshindwa

Kifo Kimeshindwa
Performed by-
CategoryPasaka (Easter)
Views2,546

Kifo Kimeshindwa Lyrics

  1. Kifo , kifo, kifo (kimeshindwa *3) aleluya

    Aa Ameni ameni ameni [Uu] alibingirisha jiwe,
    Kubwa sana kaburini, Kwelialishinda mauti

  2. Juda Juda Juda alisema Bwana Yesu, asulubiwe akafa
  3. Ewe ndugu yangu uje leo Bwana Yesu, akuita uje leo