Kila Mwenye Pumzi

Kila Mwenye Pumzi
ChoirOur Lady of Fatima Kongowea
AlbumKila Mwenye Pumzi (vol 4)
CategoryEntrance / Mwanzo
ReferencePs 150

Kila Mwenye Pumzi Lyrics

Aleluya, aleluya, aleluya, aleluya *2
Kila mwenye pumzi, na amsifu Bwana *2


1. Msifuni Mungu katika patakatifu pake,
Msifuni katika anga la uweza wake *2

2. Msifuni Mungu kwa matendo yake makuu
Msifuni kadiri ya wingi wa ukuu wake *2

3. Msifuni Mungu kwa mvumo wa baragumu
Msifuni sifuni kwa kinanda na kinubi *2

4. Msifuni Mungu kwa matari na kucheza
Msifuni sifuni kwa zeze na filimbi *2

5. Msifuni Mungu kwa matoazi yaliayo
Msifuni sifuni kwa matoazi yavumayo *2

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442