Kila Penye Ngoma Lyrics

KILA PENYE NGOMA

@ A. S. Haule

{ Kila penye ngoma, hapakosi chereko (chereko)
Na kila penye chereko chereko
Zawadi zawadi hazikosi } *2

{ Twendeni sasa kwa Bwana mfufuka
Aliyeyashinda mauti mzima kweli
Zawadi zawadi tukatoe } *2
{ Haya twende twende twende
Zawadi tumwage tumwage
Kwa Bwana aliyefufuka, fufu-ka } *2

 1. Watu hutoa zawadi nzuri tena za kutamanisha
  Siku siku ya harusi, siku ya ngoma
  Je mimi nitatoa nini hata kikupendeze
  Siku siku ya kufuka, siku ya leo
 2. Bwana simama kwa chereko, nyimbo ngoma na vigelegele
  Siku siku ya kufuka, siku ya leo
  Nawe jirani twende tukatoe hata kidogo usisite
  Siku siku ya kufuka, siku ya leo
Kila Penye Ngoma
COMPOSERA. S. Haule
CHOIRKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
ALBUMBwana Kafufuka
CATEGORYHarusi
MUSIC KEYG Major
TIME SIGNATURE2
4
SOURCESt. Theresa Cathedral Arusha Tanzania
NOTES Open PDF
 • Comments