Login | Register

Sauti za Kuimba

Kimya Hiki Kinanishangaza Lyrics

KIMYA HIKI KINANISHANGAZA

@ J. C. Shomaly

Kimya hiki kinanishangaza sana, najiuliza
Kimya hiki kinanishangaza sana, najiuliza
Ni kiumbe gani asiye na shukrani humu ulimwenguni *2
{ Ki-mya kimya, ki-mya kimya,
ki-imya kimya, mimi nashangaa } *2

  1. [ s ] Nami natoa sadaka yangu kwa Bwana,
    Naye atapokea, jamani.
  2. [ a ] Japo ni kidogo Bwana ukipokee, mimi naleta
  3. [ t/b ] Kimya ni cha nini, tuamke wote,
    Tupeleke zawadi zetu, kwake Bwana
Kimya Hiki Kinanishangaza
COMPOSERJ. C. Shomaly
CHOIRSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
ALBUMTazameni Miujiza (Vol 2)
CATEGORYOffertory/Sadaka
MUSIC KEYD Major
TIME SIGNATURE2
4
  • Comments