Kitambo Lilitokea Jambo Lyrics

KITAMBO LILITOKEA JAMBO

Kitambo kitambo lilitokea jambo,
Tena jambo kubwa*2
Bwana Yesu alisulubiwa tena akafa
Ili atimize ahadi ya ukombozi wetu
Uko wapi ndugu yangu fanya hima uokolewe
Kitambo leo iishe kubali sasa yaishe*2

  1. Kitambo usimame, kitambo ukae
    Badilisha mwenendo wako fanya hima uokolewe
  2. Haujachelewa, kuwa imara
    Mungu bado akupenda una dhambi sasa katubu
  3. Unangoja nini, kataa dhambi
    Miaka yaenda mbele fanya hima uokolewe
Kitambo Lilitokea Jambo
CATEGORYTafakari
  • Comments