Kusanyikeni Viumbe Lyrics

KUSANYIKENI VIUMBE

@ J. C. Shomaly

Kusanyikeni kusanyikeni viumbe wake Bwana
Tumsifuni Mungu wetu mwema aliyeumba vyote *2
Amsheni vinanda leteni na zeze na nyimbo nzuri
Zenye kupendeza msifuni Mungu*2

 1. Kaumba nchi, kaumba wanyama,
  Binadamu na fikira zake
  Lipi lisilomtegemea yeye iwe mvua ama ni jua
 2. Kawapa wengine mali nyingi sana,
  Wengine ni dhiki tupu
  Ili wote wategemeane kwa kile alichowajalia
Kusanyikeni Viumbe
COMPOSERJ. C. Shomaly
CHOIRSt. Cecilia Zimmerman
CATEGORYEntrance / Mwanzo
 • Comments